Drawer trigger

BIBI MWENYE NURU BIBI FATIMATUZ-ZAHRA ( A.S)

BIBI MWENYE NURU BIBI FATIMATUZ-ZAHRA ( A.S)

BIBI MWENYE NURU BIBI FATIMATUZ-ZAHRA ( A.S)

Mwaka wa uchapishaji :

2004

Chapisha nambari :

Chapa ya Nne

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

BIBI MWENYE NURU BIBI FATIMATUZ-ZAHRA ( A.S)

Kwa binadamu wote wanaume na wanawake Mwenyezi Mungu amewaamuru watu fulani fulani kuwa vigezo (mifano) kwa wengine kukhusu vitendo vyao. Uislamu umeweka wanaume kumi na tatu, lakini umeweka mwanamke mmoja tu kuwa kigezo. Lakini mwanamke huyo katika ule muda mfupi wa maisha yake, ameonyesha mfano ulio kama nyota imulikayo kwa muda wote ujao na alipofariki dunia, aliurithisha mfano huo kwa njia ya dalili za binti wake kwamba wang’are kwa mwangaza wa tabia ya binti yake Mtume (s.a.w.w.) mwenyewe.