Drawer trigger

MASHAIRI YA MASAIBU YA KERBALA

MASHAIRI YA MASAIBU  YA  KERBALA

MASHAIRI YA MASAIBU YA KERBALA

Mwaka wa uchapishaji :

2009

Idadi ya juzuu :

500

Chapisha nambari :

Chapa ya Pili

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

MASHAIRI YA MASAIBU YA KERBALA

Ahlul Bayt (A.S.) Assembly ya Tanzania (ABATA), inayo furaha kwa kutoa Kitabu hiki cha Mashairi kwa watu wazungumzao Kiswahili. Ilikuwa mapendekezo ya Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi, Mwenyekiti wa ABATA, kwamba tuchapishe vitabu vya Majlis na Mashairi (Nauha na Utenzi) juu ya “Masaibu ya Karbala.” Kwa hiyo mwezi Aprili, 1998 tulichapisha Kitabu cha Majlis kinachoitwa, “Maombolezo ya Kifo cha Imam Husain (a.s.)” ambacho kimetokea kupendwa sana Afrika ya Mashariki. Alhamdulillah. Sayyid Murtaza Rizvi na Sheikh Abdul-Majid Nassor, kwa ushauri wa Mwenyekiti wa ABATA, wameyakusanya Mashairi haya kutoka sehemu mbalimbali, wakayapanga na kupata kitabu kiitwacho “Mashairi ya Masaibu ya Karbala” ambacho unacho mkononi mwako hivi sasa. Hiki ni Kitabu cha tatu ambacho kimetolewa na Ahlul-Bayt (A.S.) Assembly ya Tanzania; na tunayo furaha kubwa kutoa kitabu cha Mashairi va Karbala kwa Kiswahili ambacho ni cha kwanza katika lugha ya Kiswahili. Allah Subhanahu wa Ta'ala atoe malipo yake kwa mtunzi, mfasiri na wale wote ambao wamesaidia katika kuchapisha kwake kwa njia yoyote.

Majina Yanayohusiana