NYAMA YA NGURUWE

NYAMA YA NGURUWE

NYAMA YA NGURUWE

Publication year :

2011

Number of volumes :

2000

Publish number :

Toleo la Tatu

Publish location :

Dar es Salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

NYAMA YA NGURUWE

Kijitabu hiki, kilichoandikwa kwa mpango wa mazungumzo kuhusu Nyama ya Nguruwe, kiliandikwa na Sayyid Saeed Akhtar Rizvi. Sayyid Saeed Akhtar Rizvi ni Mwanachuoni na Mtafiti wa Kiislamu. Vile vile ameandika vitabu vingi juu ya Uislamu ambavyo vinatolewa na Jumuiya hii ya “Bilal Muslim Mission of Tanzania.” Katika kijitabu hiki, mwandishi amepinga vikali sana kuhusu kula Nyama ya Nguruwe, akitoa sababu za kisayansi na za kidini, ili kulithibitisha jambo hili, ametumia ripoti za kiganga na za kijamii ambazo zinathibitisha wazi wazi bila ya kubakisha shaka yoyote ile juu ya athari mbaya za Nyama ya Nguruwe kwa afya na uadilifu wa mwanadamu. Kwa vile kijitabu hiki tumekiona kuwa kinafaa 3 mno hapa ketu Afrika ya Mashariki kwa kuondoa fikara mbaya walizonazo ndugu zetu wasio Waislamu kuhusu Sheria ya Kiislamu juu ya mnyama huyu nguruwe, tumeona kuwa ni bora tukitafsiri kwa lugha ya Kiswahili ili kiweze kuwasaidia hata wale ndugu zetu ambao hawakujaaliwa kuielewa lugha ya Kiingereza. Mwishoni tunamwomba Mwenyezi Mungu atupe sisi Waislamu mafanikio mema hapa duniani na Kesho Ahera pia.Tuwe wasikivu wa Neno Lake na wafuasi wa Uongozi Wake wa Kweli - Amin.