Drawer trigger

Vyanzo vya Kiislamu

Ally Juma Mayunga

Ally Juma Mayunga

Mwandishi Wa Wiki

Sheikh Omar Juma Mayunga ni miongoni mwa Waandishi wazuri na mahiri katika katika eneo la Afrika Mashariki nyaja mbali mbali, hasa katika uwanja wa Dini ya Kiislamu, na pia ni mmoja wa Mustabiswir (alietoka Madhehebu ya Kisunni na kuwa Shia) na baada ya kuwa Shia alibadilisha jina lako kutoka  kuitwa Omar na kuitwa Ali na sasa hivi anjulikana kwa jina hilo yaani Sheikh Ali Juma Mayunga na sio Omar tena. Sheikh huyu ameandika vitabu vingi sana kama vile:- Tafsiri ya Qur'an/ Qur'an inayobainisha Meza ya Uchungzi Mutaa ndoa Sahihi Muongozo wa Wasomao  n.k Na pia Sheikh ni miongoni mwa Makhatibu bora na fasahaZaidi ...

Vyombo vya habari


 • Mwanamke ni Ua
 • Mwanamke
 • Mwanamke
 • Utukufu wa Bibi Fatima Zahra a.s
 • Wasia wa Bibi Zahraa a.s Kwa wanawake
 • Bibi Zahraa a.s
 • Bi. Fatma Zahraa
 • Qur'an
 • Siku ya Mwanamke
 • Hijabu
 • Hijabu
 • Hijabu