Drawer trigger

AMANI NA JIHADI KATIKA UISLAM

AMANI NA JIHADI KATIKA UISLAM

AMANI NA JIHADI KATIKA UISLAM

Mchapishaji :

AL-ITRAH FOUNDATION

Chapisha nambari :

Toleo la  kwanza

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

AMANI NA JIHADI KATIKA UISLAM

Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Kiswahihi kutoka Kiingereza. Ni tafsiri pana ya khutba iliyotolewa na mmoja wa wanachuoni wetu mashuhuri wa Kiislamu Sayyid Muhammad Rizvi, katika Bunge la Canada, Ottowa tarehe 20 Septemba, 2006 katika lugha ya Kiingereza. Tarjuma yake inatolewa hapa kwa faida ya ndugu zetu wazungamzaji wa Kiswhili wa Afrika ya Mashariki na pengine popote. “Amani na Jihadi” ni mada ambayo imetumiwa nje ya muktadha wa Kiislamu dhidi ya Uislamu na vyombo vya habari visivyo amini (Uislamu) vya mlengo wa kulia, wanasiasa na pia wanahistoria. Sayyid Muhammad Rizvi kwa ufupi anaelezea hapa kuhusu amani na Jihadi kama ilivyo katika Uislamu. Kwa hakika wasomaji wasio na upendeleo watafaidika kutokana na toleo hili. Tunawashukuru wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wamechangia katika utoaji wa tarjuma hii ya Kiswahili ambayo inawasilishwa hapa.