Dua-e-Kumail
Dua-e-Kumail
Mchapishaji :
(0 Kura)
(0 Kura)
Dua-e-Kumail
Sifa njema anastahiki kusifiwa Mwenyezi Mungu aliyetuamuru tumuombe na akaahidi kuwa atajibu maombi yetu aliposema: “Niombeni, Nami Nitajibu maombi yenu....” (Qur 40:60). Kisha sala na salamu zimwendee Bwana Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad, yeye na kizazi chake kilichotakaswa na Mwenyezi Mungu kikatakasika.