Drawer trigger

Familia Katika Uislamu

Familia Katika Uislamu

Familia Katika Uislamu

Mtarjum :

Salman Shou

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Familia Katika Uislamu

Kitabu kilichopo mikononi mwako ni tafsiri ya moja ya maandishi ya Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi (r.a.). Kitabu hiki kimekuwa maarufu katika ulimwengu wa Ki-Islamu na kilitafsiriwa na kuchapishwa na Taasisi mbali mbali kwa lugha ya Ki-Ingereza, Ki-Urdu, Ki-Hindi, Ki-Gujrati, Ki-Suwidish. Ki-Bosniya, Ki-Fransa na Ki-Arabu.
Sababu iliyoifanya Bilal Muslim Mission isimamie kazi hii ni kama zile za mwanzo, ambayo inatokana na maombi ya watu wengi kutoka Afrika ya Mashriki kututaka tuchapishe Kitabu hiki kwa lugha ya Ki-Swahili.
Hii ilitufanya tutafsiri na kuchapish kitabu hiki ili watu wazungumzao kiswahili wa weze kuelewa na kufahamu zaidi juu ya swala hili muhimu katika Familia.
Bilal Muslim Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa mfasiri wa kitabu hiki Ndugu Salman Al-Afrika, na Dr. Mohammad Kanju kwa kusahihisha tarjuma hii na wale wote ambao kwa juhudi zao kitabu hiki kinawafikia wasomaji wetu mikononi mwao na wale wote wanaotuunga mkono kwa njia moja au nyingine katika kazi zetu za Tabligh, Tunamuomba Allah (s.w.t.) awalipe malipo mema hapa Duniani na baadaye huko, Akhera.