Drawer trigger

Hadith Al-Thaqalayn

Hadith Al-Thaqalayn

Hadith Al-Thaqalayn

Mwandishi :

Abdillahi Nassir

Mwaka wa uchapishaji :

2012

Eneo la uchapishaji :

MOMBASA (KENYA)

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Hadith Al-Thaqalayn

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Bwana waviumbe vyote; na swala nasalamu zimshukie Muhammad, Mtume Wake, pamoja na aali zake, na wote wenye kuwaandamawao hadi Sikuya Malipo. Kiasi chamiaka miwili mitatu iliyopitanilipata khabari kuwa kumezuka “kijana mmoja wa Kiibadhi anawashambulia sana mashia katika intaneti, na anaikataa Hadith Thaqalayn” na kwamba “baadhiya vijana wa Kishia wameanza kujibizana naye,”