islamic sources logo
Drawer trigger

Imame Zaman Hazrat Mahdi a s

Imame Zaman Hazrat Mahdi a s

Imame Zaman Hazrat Mahdi a s

Publication year :

1991

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

(0 Votes)

QRCode

(0 Votes)

Imame Zaman Hazrat Mahdi a s

Kitabu hiki kinatoa ufafanuzi wa hadithi maarufu ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.) ambaye amesema, “Yeyote atakayekufa pasi kumtambua Imamu wake atakufa mauti ya mpagani.” Kila Mwislamu mwenye kuamini kauli ya Bwana Mtume (s.a.w.w.) hana budi kufanya kila juhudi ya kumtambua Imamu wake wa wakati huu maana dunia hii haiwezi kubaki hata sekunde moja bila ya Hujjah ya Mwenyezi Mungu (s.w.t.) kuwapo. Ama kwa hakika, kuwa na imani katika Imamu ni mzizi mmojawapo wa bDini, maana kazi ya kuiongoza na kuihifadhi dini ni wajibu wa Imamu baada ya kuondoka duniani Bwana Mtume (s.a.w.w.).