islamic sources logo
Drawer trigger

Juzuu 04 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 04 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 04 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Votes)

QRCode

(0 Votes)

Juzuu 04 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Nne imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya nne:-

  1. Suratu Aal-Emran kuanzia Aya ya 92 mpaka mwisho
  2. Suratu-An-Nisaa kuanzia Aya ya 1 mpaka Aya ya 23
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.