Drawer trigger

Juzuu 07 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 07 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 07 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 07 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Saba  imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya saba:-

  1. Suratul-Maidah kuanzia Aya ya 82 mpaka mwisho
  2. Suratul-Ani'am kuanzia Aya ya 1 mpaka Aya ya 110
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.