Drawer trigger

Juzuu 10 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 10 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 10 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 10 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi:-

  1. Suratul-Anfal kunzia aya ya  41 hadi aya ya 75
  2. Surat aTauba kunzia aya ya 1 hadi aya ya 92
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.