Drawer trigger

Juzuu 11 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 11 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 11 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 11 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu  ya Kumi na moja imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na moja:-

  1. Surat Tauba kuanzia aya ya 93 hadi aya ya 129
  2. Surat Yunus kuanzia aya ya wa 1 hadi  aya ya109 (kamili)
  3. Surat Huud kuanzia aya ya  1 hadi aya ya 5
  Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.