Drawer trigger

Juzuu 13 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 13 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 13 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 13 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi na tatu imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na tatu:-

  1. Surat Yusuf kuanzia aya ya 53 hadi aya ya 111
  2. Surat Al-Ra'ad kuanzia aya ya 1 hadi  aya ya43 (kamili)
  3. Surat Ibrahimu kuanzia aya ya 1 hadi  aya ya52 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.