Drawer trigger

Juzuu 14 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 14 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 14 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 14 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi na nne imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Kumi na nne:-

  1. Suratul-Hijr kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 99 (kamili)
  2. Surat An-Nahl kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 128 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.