Drawer trigger

Juzuu 15 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 15 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 15 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 15 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu  ya Kumi na tano imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na tano:-

  1. Suratul-Isra ' kuanzia aya ya 1 hadi  aya ya 111 (kamili)
  2. Suratul-Kahf kuanzia aya ya 1 hadi  aya ya 74
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.