Drawer trigger

Juzuu 16 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 16 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 16 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 16 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu  ya Kumi na sita imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na sita:-

  1. Suratul-Kahf kuanzia Aya ya 75 hadi Aya ya 110
  2. Surat Maryam kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 98 (kamili)
  3. Surat Twaha kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 135 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.