Drawer trigger

Juzuu 19 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 19 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 19 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 19 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi na tisa imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na tisa:-

  1. Al-Furqan kuanzia Aya ya 21 hadi Aya ya 77
  2. Surat Ashua'raa kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya227 (kamili)
  3. Surat  AnNiml kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 55.
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.