Drawer trigger

Juzuu 25 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 25 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 25 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 25 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na tano imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na tano:-

  1. Surat Fuswilat kuanziaAya ya 47 hadi Aya ya 54
  2. Surat As-Shura kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 53 (kamili)
  3. Surat Az-Zakhraf kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 89 (kamili)
  4. Surat Ad-Dukhan kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 59 (kamili)
  5. Suratul-Jathiya kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 37 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii