Drawer trigger

Juzuu 26 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 26 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 26 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 26 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na sita imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na sita:-

  1. Suratul-Ahqaf kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 35 (kamili)
  2. Surat Muhammad kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 38 (kamili)
  3. Suratul-Fatah kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 29 (kamili)
  4. Suratul-Hujrat kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 18 (kamili)
  5. Surat Qaf kuanzia aya 1. hadi Aya ya 45 (kamili)
  6. Suratu d-Dhariyat kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 30
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii