Drawer trigger

Juzuu 28 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 28 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 28 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 28 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na nane imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na nane:-

  1. Suratul-Majdallah kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 22 (kamili)
  2. Suratul-Hashr kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 24 (kamili)
  3. Suratul-Muhtina kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 13 (kamili)
  4. Surat s-Swaf kutoka aya 1 hadi aya ya 14 (kamili)
  5. Suratul-Juma'h kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 11 (kamili)
  6. Suratul-Munafiqin kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 11 (kamili)
  7. Surat t-Taghabun kuanzia aya ya1 hadi aya ya 18 (kamili)
  8. Surat t-Twalaq kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 12 (kamili)
  9. Surat t-Tahrim kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 12 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii