Drawer trigger

Juzuu 29 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 29 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 29 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 29 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na tisa imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na tisa:-

  1. Suratul-Mulk kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 30 (kamili)
  2.  Suratul-Qalam kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 52 (kamili)
  3. Suratul-Haqqa kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 52 (kamili)
  4. Suratul-Ma'arij kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 44 (kamili)
  5. Surat n-Nuh kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 28 (kamili)
  6. Suratul-Jinn kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 28 (kamili)
  7. Suratul-Muzmal kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 20 (kamili)
  8. Suratul-Muddaththir kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 56 (kamili)
  9. Suratul-Qiyamah kuanzia Aya ya 1. hadi Aya ya 40 (kamili)
  10. Suratul-Insan kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 31 (kamili)
  11. Suratul-Mursalat kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 50 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii