Drawer trigger

Juzuu 30 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 30 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 30 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 30 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Thelathini imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Thelathin:-

  1. Surat n-Naba kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 40 (kamili)
  2. Surat n-Naza’at kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 46 (kamili)
  3. Surat Abbas kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 42 (kamili)
  4. Surat t-Takwir kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 29 (kamili)
  5. Suratul- Iftar kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 19 (kamili)
  6. Suratul-Mutaffifin kuanzia Aya ya 1 hadi 36 Aya ya (kamili)
  7. Suratul-Inshqaq kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 25 (kamili)
  8. Suratul-Buruuj kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 22 (kamili)
  9. Surat t-Tariq kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 17 (kamili)
  10. Suratul-Ghashiyah kuanzia Aya ya 1 hadi 26 (kamili)
  11. Suratul-Fajr kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 30 (kamili)
  12. Suratul-Balad kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 20 (kamili)
  13. Surat s-Shams kuanzia Aya ya 1. hadi Aya ya 15 (kamili)
  14. Surat l-Layl kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 21 (kamili)
  15. Surat d-Dhuha kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 11 (kamili)
  16. Surat S-Sharh kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 8 (kamili)
  17. Surat t-Tin kutoka Aya ya 1 hadi Aya ya 8 (kamili)
  18. Suratul-Alaq kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 19 (kamili)
  19. Suratul-Qadr kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 5 (kamili)
  20. Suratul-Baynah kutoka Aya 1 hadi Aya ya 8 (kamili)
  21. Surat z-Zalzala kutoka Aya 1 hadi Aya ya 8 (kamili. )
  22. Suratul-Adiyat kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya  11 (kamili)
  23. Suratul-Qare'a kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 11 (kamili)
  24. Suratul-Aswir kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 3 (kamili)
  25. Suratul-Hamzahkuanzia Aya ya 1 hadi  Aya ya 9 (kamili)
  26. Suratul-Fil kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 5 (kamili)
  27. Suratul-quraysh kutoka Aya 1 hadi Aya ya 4 (kamili)
  28. Suratul-Ma'un kuanzia Aya ya 1 Aya ya hadi 7 (kamili)
  29. Suratul-Kawthar kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 3 (kamili)
  30. Suratul-Kafrun kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 6 (kamili)
  31. Suratul-Nasr kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 3 (Kamili)
  32. Suratul-Masad kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 5 (kamili)
  33. Suratul-Ikhlasi kuanzia Aya ya Aya 1 hadi Aya ya 4 (kamili)
  34. Sutatul-Falaq kuanzia Aya ya 1 hadi 5 (kamili)
  35. Surat n-Nas kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 6 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii