Drawer trigger

kitabu cha saumu

kitabu cha saumu

kitabu cha saumu

Mwaka wa uchapishaji :

2005

Idadi ya juzuu :

2500

Chapisha nambari :

Toleo la Tano

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

kitabu cha saumu

BISMILLAAHIR RAHMAANIR-RAHEEM Kwa jinsi kitabu hiki kina maelezo na mafundisho ya maana juu ya kufunga na maamrisho yake, hata inambidi kila Mwislamu na asiye Mwislamu kuwa na kitabu hiki, na kukisoma, na hasa wale wanaotaka kujua Uislam. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa taufiki ya kukitunga kitabu hiki ili wapate faida watu, na namwomba Mola kwa utukufu wa Muhammad na Ahlu Baiti wake (a.s.) na kwa baraka ya siku ya leo tukufu ya kuzaliwa Imam wetu Ameerul-Mumineen Ali (a.s.) mwezi kumi na tatu ya Rajab 1387 al-Hijra, anikubalie kwa takabali njema na aniwekee akiba yangu siku ya Qiyama. Na naomba kwa Mola atupe taufiki mimi na Waislamu wote kuyafuata yaliyomo humu. Vile vile napenda kumshukuru sana Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi kwa kuchukua taabu ya kuipanga kwa uzuri milango na maelezo ya kitabu hiki.