Drawer trigger

MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI

MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI

MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI

Mwaka wa uchapishaji :

2004

Idadi ya juzuu :

1000

Chapisha nambari :

Toleo la Saba

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

MAMBO YAMPASAYO MUISLAMU KUYAJUA NA KUYAAMINI

Kitabu hiki ni tafsiri ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho “What a Muslim should know and believe” kilichoandikwa na Hujjatul Islam, Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi. Baada ya kukiona kuwa ni kitabu kifaacho kuwazindua wazazi wa Kiislamu juu ya Uislamu wao na wa vijana wao na hasa waahidiwa tumeona tukitafsiri kwa lugha ya Kiswahili. Tunaomba Allah (s.w.t.) atujaalie usikivu wa kutuwezesha kunufaika kutokana na juhudi za ndugu yetu Maulana Sayyid Saeed Akhtar Rizvi – Aamina.