Drawer trigger

Muhammad (s.a.w.w.) ni Nabii wa Mwisho

Muhammad (s.a.w.w.) ni Nabii wa Mwisho

Muhammad (s.a.w.w.) ni Nabii wa Mwisho

Mwaka wa uchapishaji :

2004

Eneo la uchapishaji :

Dar es salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Muhammad (s.a.w.w.) ni Nabii wa Mwisho

Kama utakavyosoma katika utangulizi, kitabu hiki kilianzishwa kama kijitabu cha Kiswahili; kisha kilitafsiriwa katika lugha ya Kiingereza na kuongezewa mambo mengi na kuchapishwa na Misheni yetu. Kisha mambo mengine machache yaliongezewa hapa na pale na hilo toleo jipya lilichapishwa na “A Group of Muslim Brothers”, Tehran, Iran, kwa ajili ya kutolewa bure Ulimwenguni. Waislamu wa Afrika ya Mashariki walihitaji sana tukitoe kitabu hiki kwa lugha ya Kiswahili. Hivyo basi, kwa kulikubali agizo lao hilo muhimu, tunaitoa tafsiri hii; na tunamuomba Mwenyezi Mungu kuwa kitabu hiki kiwe chenye faida kubwa kwa Waislamu wote katika sehemu hii ya Afrika, Amin!