Drawer trigger

Sadaqatul_Jariyah_Sadaka_Yenye_Kuendelea

Sadaqatul_Jariyah_Sadaka_Yenye_Kuendelea

Sadaqatul_Jariyah_Sadaka_Yenye_Kuendelea

Publication year :

2014

Publish location :

Dar es salaam Tanzania

(0 Votes)

QRCode

(0 Votes)

Sadaqatul_Jariyah_Sadaka_Yenye_Kuendelea

kitabu hiki pamoja na udogo wake -kinazungumzia sadaka yenye kuendelea ambayo manufaa yake yananufaisha wakati wote kwa idhini ya Mola wake. Nimekiandika kwa kuitikia wito wa baadhi ya ndugu zangu watukufu ili kiwe ni hatua njema katika kuwapa watu moyo wa kuanzisha taasisi za kidini, markazi za kheri na kufanya vitendo vyema ambavyo ni vyenye manufaa na faida, na ambavyo vitaendelea kumpatia thawabu aliyevifanya. Namuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu anikubalie juhudi hii ndogo na aipokee kwa mapokezi mema na awape tawfiki ndugu zangu ambao wanalingania kheri na kuamrisha mema na kukataza maovu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia dua na ni Mwenye kujibu maombi. Na wa kuwafikisha ni Mwenyezi Mungu, Kwake nimetegemea na Kwake narejea.