Drawer trigger

Tarjuma Ya Qur'an Swahili (Kamili)

Tarjuma Ya Qur'an Swahili (Kamili)

Tarjuma Ya Qur'an Swahili (Kamili)

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Tarjuma Ya Qur'an Swahili (Kamili)

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu wote khasa Mashia kwani katika Internet au Social media yaani mitandao ya kijamii kulikuwa  hakuna Tarjuma kamili ya Qur'an tukufu iliyotarjumia na Mshia  kwa kuzingatia hilo Taasisi hii imeona ni vizuri kufanya kazi hii kwa ajili ya kuutumikia Uislamu na Waislamu kwa ujumla na kuchangia kitu kidogo katika kusukuma mbele gurudumu la Tabligh. Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.