Drawer trigger

Wasifu Mfupi wa Imam Musa bin Jafar al-Kadhim (a.s.)

Wasifu Mfupi wa Imam Musa bin Jafar al-Kadhim (a.s.)

Wasifu Mfupi wa Imam Musa bin Jafar al-Kadhim (a.s.)

Mwaka wa uchapishaji :

2014

Eneo la uchapishaji :

Dar es salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Wasifu Mfupi wa Imam Musa bin Jafar al-Kadhim (a.s.)

Wasifu huu mfupi wa Imam Musa bin Jafar (a.s.) umeandikwa hususan kama sehemu ya Masomo kwa Njia ya Posta kwa ajili ya wanafunzi waliosajiliwa katika masomo haya yanayotolewa na Bilal Musilim Mission of Tanzania.
Madhumuni ya jumla ya kuandika kijitabu hiki ilikuwa ni kwa ajili ya kutoa maelezo mafupi juu ya vipengele muhimu vya picha ya maisha na historia ya Imam wetu wa saba kwa ajili ya wasomaji wetu vijana ambao kwa mara ya kwanza wameingizwa kwenye mafunzo rasmi ya mtu huyu mashuhuri katika historia ya Uislamu.
Kwa hiyo, kwa namna yoyote ile kazi hii isije ikachukuliwa kama kazi kubwa au kamili. Kusema kweli, kazi hii ilitayarishwa chini ya mazingira ambayo kwamba kupitiwa kwake upya kuwe lazima baada ya toleo hili la kwanza. Hata hivyo, hili litatekelezwa, kwa nia njema, katika muda ujao.