Drawer trigger

ASHURA SHAHADA YA IMAM HUSAYN (A.S.) MTAZAMO WA KIHISTORIA

ASHURA SHAHADA YA IMAM HUSAYN (A.S.) MTAZAMO WA KIHISTORIA

ASHURA SHAHADA YA IMAM HUSAYN (A.S.) MTAZAMO WA KIHISTORIA

Eneo la uchapishaji :

Mombasa - Kenya

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

ASHURA SHAHADA YA IMAM HUSAYN (A.S.) MTAZAMO WA KIHISTORIA

Hii ni kumbukumbu ya kujitolea mhanga na kuuliwa kwa Imam Husayn na takriban jamii yote ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika kuinusuru dini na kuitetea haki dhidi ya hao walowezi na wapinzani wa dini, na kuregesha mwito ule ule wa “hakuna Mungu apasae kuabudiwa ila Allah”. Imam Husayn (a.s) ambaye ni mjukuu wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.) aliuwawa kwa ajili ya kuutetea Uislamu. Sababu kuu ya kuuwawa Imam Husayn ni kwamba yeye alikataa dhulma na uwongo. Alikataa kula kiapo cha utii (baiyat) kwa Yazid. Imam Husayn alitaka kuisimamisha haki na ukweli kama aliokuwanao babu yake Mtume Muhammad (s.a.w.w).