UTETEZI WA SHERIA ZA KIISLAMU

UTETEZI WA SHERIA  ZA KIISLAMU

UTETEZI WA SHERIA ZA KIISLAMU

Interpreter :

Mohammad Said Kanju

Publication year :

2004

Number of volumes :

2500

Publish number :

Toleo la Pili

Publish location :

Dar es Salaam - Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

UTETEZI WA SHERIA ZA KIISLAMU

Tunamshukuru Allãh (s.w.t.), na kwa baraka za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) na Ahlul~Bayt (a.s.), kwa kutujaalia tuweze kufanikisha juhudi zetu hizi katika kuchapish kitabu hiki juu ya sheria za ki-Islamu. Kitabu hiki kilochopo mikononi mwako ni tafsiri ya kitabu cha kiingreza kiitwacho In Defense of Islamic Lawskilicho andikwa na marehemu Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi, Muasisi na Mhubiri Mkuu wa Mission hii. Kitabu hiki kimekua maarufu katika ulimwengu wa ki-Islamu. Watu wengi kutoka Africa ya Mashriki wametuomba kukitafasiri katika lugha ya kiswahili. Tunamshukuru Dr. Mohammad Salehe Kanju kuitafsiri kitabu hiki katika lugha ya kiswahili. Kwa manufa ya wasomaji wetu tumeongeza makala juu ya Mahakama ya Kadhi ambae ilityariswa na Mwandidhi bada ya kitabu asili ya kiingreza kuchapiswa. Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa Bwana Mahmood Khimji ambae kwa juhudi zake kitabu hiki kinawafikia wasomaji wetu mikononi na Sayyid Murtaza Rizvi kuipanga vizuri katika kompyuta na wale wote wanaotuunga mkono kwa njia moja au nyingine kwa kufanikisha kuchapiswa kitabu hiki, Tunamuomba Mwenyezi Mungu (s.w.t.) awalipe malipo mema hapo Duniani na baaday huko.