UHARAMISHO WA U W O N G O KATIKA UISLAMU (Juzuu ya pili)

UHARAMISHO WA U W O N G O KATIKA UISLAMU (Juzuu ya pili)

UHARAMISHO WA U W O N G O KATIKA UISLAMU (Juzuu ya pili)

Publish number :

Toleo la kwanza

Publish location :

Tanzania, Dar-es-Salaam.

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

UHARAMISHO WA U W O N G O KATIKA UISLAMU (Juzuu ya pili)

Namshukuru Allah swt pamoja Mtume Muhammad s.a.w.w. na Maimamu a.s. kwa kunijaalia kukitayarisha kitabu hiki. Ni matumaini yangu kuwa maudhui haya yatawafaidisha na kutuelimisha sisi sote ili tuweze kujiepusha sisi wenyewe na tusiwachochee wengine wakatumbukia katika ugonjwa huu wa kusema uwongo. Vitabu vingine pia vimetayarishwa katika mfululizo huu wa kuyarekebiisha na kuyatokomeza mabaya katika jamii yetu kama 1. Uharamisho wa Kamari, 2. Uharamisho wa Ulevi 3. Uharamisho wa Riba 4. Uharamisho wa Uwongo (juzuu ya kwanza) 5. Uharamisho wa Uwongo (juzuu ya pili) 6. Ulawiti –Dahmbi Kuu 7. Uharamisho wa Zinaa 8. Usamehevu katika Uislamu. Ni matumaini kuwa mawaidha na nasaha zilizomo katika vitabu hivi vitatusaidia katika kuishi maisha mema na kachana na mabaya. Wabillahi Tawfiq,