DHANA YA NDOA YA MITALA NA NDOA ZA MTUKUFU MTUME

DHANA YA NDOA YA MITALA NA NDOA ZA MTUKUFU MTUME
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publish number :
Toleo la kwanza
Publish location :
Dar es Salaam, Tanzania
(0 Kura)

(0 Kura)
DHANA YA NDOA YA MITALA NA NDOA ZA MTUKUFU MTUME
Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Kiswahihi kutoka Kiingereza. Ni tafsiri pana ya khutba iliyotolewa na mmoja wa wanachuoni wetu mashuhuri wa Kiislamu Sayyid Muhammad Rizvi, katika programu ya TV juu ya Islam in Focus ya tarehe 5 Januari, 2002 katika lugha ya Kiingereza. Mitala na ndoa za Mtume imekuwa ni maneno ya kawaida katika mashambulizi yao dhidi ya Uislamu yaliyo tumiwa nje ya muktadha wa Uislamu na vyombo vya habari visivyo amini (Uislamu) vya mlengo wa kulia, wanasiasa na pia wanahistoria. Sayyid Muhammad Rizvi ameelezea tu hapa kwa ufupi kuhusu mitala na ndoa za Mtume katika muktadha wake wa kweli. Tarjuma yake inatolewa hapa kwa faida ya ndugu zetu wazungamzaji wa Kiswhili wa Afrika ya Mashariki na pengine popote. Kwa hakika wasomaji wasio na upendeleo watafaidika kutokana na toleo hili. Tunawashukuru wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wamechangia katika utoaji wa tarjuma hii ya Kiswahili ambayo inawasilishwa hapa.