MTUME WA AMANI SAYYIDINA MUHAMMAD Al-MUSTAFA (S.a.w.w.)

MTUME WA AMANI SAYYIDINA MUHAMMAD  Al-MUSTAFA (S.a.w.w.)

MTUME WA AMANI SAYYIDINA MUHAMMAD Al-MUSTAFA (S.a.w.w.)

Publication year :

2006

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

MTUME WA AMANI SAYYIDINA MUHAMMAD Al-MUSTAFA (S.a.w.w.)

Kitabu hiki “Mtume Wa Amani” kina lengo la kuwaelimisha Waislamu maisha na hali ya jumla ya Mtume wa Uislamu. Maulana Sayyid Ali naqi Saheb anastahili pongezi kwa kazi yake hii kubwa. Waislamu walio wengi wa hapa kwetu hawaelewi historia ya Mtume wao labda kwa vile vitabu vingi havikuandikwa kwa lugha ya Kswahili. Lakini kitabu hiki kitawafaa sana watu wa Afrika Mashariki. Katika kitabu hiki mwandishi ameeleza tangu nasaba ya Mtume hadi kufa kwake. Ni matumaini yangu kuwa kitabu hiki kitaleta kheri baina ya Waislamu. Naona niishie hapa ili nikupe nafasi ya kumjua Mtume Muhammad (s.a.w.w.)