Mahojiano Baina ya Mlahidi na Imamu Ja’far Sadiq (a.s)

Mahojiano Baina ya  Mlahidi na Imamu Ja’far Sadiq (a.s)

Mahojiano Baina ya Mlahidi na Imamu Ja’far Sadiq (a.s)

Publication year :

2007

Number of volumes :

2500

Publish number :

Toleo la Tatu

Publish location :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Mahojiano Baina ya Mlahidi na Imamu Ja’far Sadiq (a.s)

Hii ni tafsiri ya Kiswahili ya mahojiano baina ya Mlahidi mmoja na Imamu Jafar Sadiq (a.s.) kama yalivyonakiliwa katika kitabu kiitwacho Al-Ihtijaj cha Sheikh Ahmad b. Ali al-Tabarsi na kutafsiriwa kutoka ukurasa wa 42-90 wa kitabu cha Kiingereza kiitwacho BIOGRAPHY OF IMAM JAFAR-E-SADIQ A.Skilichotolewa na Peer Mohammed Ebrahim Trust, Karachi (Pakistan).