SWALI la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzibar na JIBU la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf
SWALI la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzibar na JIBU la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2007
Number of volumes :
1000
Publish number :
Toleo la Pili
Publish location :
Dar es Salaam - Tanzania
(0 Kura)
(0 Kura)
SWALI la Sheikh Abdulla Saleh al-Farsy wa Zanzibar na JIBU la Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf
Tunayo furaha kuchapisha barua kutoka kwa Mwanachuoni mashuhuri na maarufu katika Afrika Mashariki Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy, pia tunachapisha jibu la Imam Muhamed Husain Kashiful Ghita, mwanachuoni kutoka Iraq anayetambulika kimataifa. Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Sayyid Mohammad Radha, mwanae Sayyid Muhammad Mehdi Shushhtary mwenye asili ya Zanzibar na ambaye wakati huu anaishi Iran, kwa kuongezea makala zinazowatambulisha Sheikh Abdalla Saleh al-Farsy na Imam Muhammad Husain Kashiful Ghita, ambao wanajulikana vema ulimwenguni kote. Hii ni kwa manufaa ya kizazi kipya ambao pengine watakuwa hawajui wao. Pia tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Masheikh Haroun R. Pingili na Musabah Shaaban, kwa msaada wao wa kupitia kitabu hiki na kutoa maoni yao ambayo yamewezesha kufanikisha kitabu chote.