Amali za Makka
Amali za Makka
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2014
Publish location :
Tanzania Dar es salaam
(0 Kura)
(0 Kura)
Amali za Makka
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho Adabu ‘l-Haramain kilichoandikwa na Sayyid Jawad al-Husaini Aali Ali ash-Shahrudi. Sisi tumekiita, Amali za Makka. Kitabu hiki kinaelezea mambo ya kuzingatiwa kuanzia wakati mtu anapoanza safari kwa ajili ya kuhiji na kufanya ziara (ziyara) katika mji mtukufu wa Makka (yaani adabu za ziara)