HEKAYA ZA BAHLUL MWENYE BUSARA

HEKAYA ZA BAHLUL MWENYE BUSARA
Author :
Interpreter :
Publish number :
Toleo la kwanza
Publish location :
Tanzania, Dar-es-Salaam
(0 Kura)

(0 Kura)
HEKAYA ZA BAHLUL MWENYE BUSARA
Katika kuona haja ya kupata nasiha na mawaidha nimeonelea vyema kutumia mbinu hii ya kuchapisha nasiha na mawaidha katika sura ya hekaya za Bahlul. Kwani maisha yake yanatuchekesha na kutu furahisha papo hapo tunapata mafundisho ndani yake Vile vile nimekikusanya na kukitarjumu kitabu kimoja chenye masimulizi na hadithi zilizopo katika Qur’an Tukufu. Hivyo ni matumaini yangu kuwa vitabu hivi na vingine vitatusaidia sisi sote katika kulenga maisha yetu vile ipasavypo.