Drawer trigger

kukusanya sala mbili

kukusanya sala mbili

kukusanya sala mbili

Mwandishi :

Jafar Subhani

Mtarjum :

HARUN PINGILI

Mchapishaji :

AL-ITRAH FOUNDATION

Eneo la uchapishaji :

Tanzania Dar es salaam

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

kukusanya sala mbili

Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Jam’u BaynaSalaatayn" Sisi tumekiita: "Kukusanya Sala mbili." Kitabu hiki, "Kusanya Sala mbili" ni matokea ya utafiti wa kielimu uliofanywa na Mwanachuoni wa Kiislamu, Sheikh Jafar Subhani. Sheria ya Kiislamu ni ya kipekee kwa kuwa inahusika na kila jambo huku ikiweka utatuzi wa matatizo yote yanayompata mwanadamu katika sekta zote za maisha yake.