Drawer trigger

kutabiriwa mtume wa uislamu ndani ya vitabu vya kihindu, kikristo, kiyahudi na kiparsi

kutabiriwa mtume wa  uislamu ndani  ya vitabu vya  kihindu, kikristo,  kiyahudi na kiparsi

kutabiriwa mtume wa uislamu ndani ya vitabu vya kihindu, kikristo, kiyahudi na kiparsi

Idadi ya juzuu :

2000

Chapisha nambari :

Toleo la kwanza

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

kutabiriwa mtume wa uislamu ndani ya vitabu vya kihindu, kikristo, kiyahudi na kiparsi

Utabiri huu ulichapishwa mara ya kwanza kama sehemu ya kitabu Prophethood(Utume), mwaka 1970, na Bilal Muslim Mission of Tanzania, Dar-es-Salaam. Tokea wakati huo, kilichapishwa mara nyingi - Dar-es-Salaam na Mombasa. Kisha taasisi ya “Word Islamic Network” (WIN) ya Bombay, ilichapisha sehemu hii kama kijitabu kinacho jitegemea, chini ya anuani, Prophecies About The Holy Prophet of Islam in Hindu, Christian & Jewish Scripture”. (Kutabiriwa Mtume wa Uislamu ndani ya vitabu vya Kihindu, Kikristo na Kiyhahudi). Sasa Bilal Muslim Mission inapenda kukichapisha tena, na nimezipitia upya taarifa zote kwa ajili ya toleo hili, na kuongeza utabiri kutoka katika vitabu vya Kiparsi - nataraji kitakuwa maarufu kuliko hapo awali.