MAANA NA CHANZO CHA USHIA

MAANA NA CHANZO  CHA USHIA

MAANA NA CHANZO CHA USHIA

Interpreter :

Mohammad Said Kanju

Publication year :

20044

Number of volumes :

2000

Publish number :

Toleo la Nane

Publish location :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

MAANA NA CHANZO CHA USHIA

Neno Shia )الشیعة(limetokana na neno la Kiarabu at-tashayyu )التشیع(lenye maana ya kufuata. Kulingana na al-Qamusna Lisanu ’l-‘Arab, marafiki na wafuasi wa mtu wanaitwa Shia wake. Kulingana na Taju ’l-‘urus, kikundi cha watu wanoafikiana juu ya jambo (lolote) wanaweza kuitwa Shia. Neno hili hutumika sawa sawa kwa umoja na wingi, vile vile hutumika sawa sawa kwa wanaume na wanawake.