Mazungumzo ya Mwislamu na Mkristo
Mazungumzo ya Mwislamu na Mkristo
Author :
Publication year :
1984
(0 Kura)
(0 Kura)
Mazungumzo ya Mwislamu na Mkristo
Kitabu hiki kimeandikwa kikiwa ni matokeo ya mazungumzo niliyoyafanya na viongozi wa Kikristo na walei1. Majadiliano yalikuwa ya upole, furaha, kirafiki na yenye maoni ya kujenga, bila ya chembe ya kukusudia kuumiza (kukashifu) hisia za kidini za Mkristo yoyote. Nayo ni mazungumzo ya kuuchangamsha na kuupa changamoto Ukristo. Hayo ni mazungumzo ya lazima kwa wale wanaotafuta ukweli na kwa wale wanaojifunza mlinganisho wa dini. C: Mkristo M or m: Mwislamu(SAW): Rehema na amani ziwe juu yake (AS): Mungu Amrehemu au Amani iwe juu yake, Amani iwe juu yao (Hizo herufi ni vifupisho vya tungo (sentesi) zinazosemwa na Waislamu wote baada ya kutajwa jina la mtume yoyote. Herufi hizo zitatumika katika kitabu hiki). 1 Wakristo wa kawaida.