mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

Interpreter :

Bwana J. J. Shou

Publication year :

2007

Number of volumes :

1000

Publish number :

Toleo la Tatu

Publish location :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

mfungwa adhimu (imam hasan al-askari a.s.)

Uislamu haukuwa mkusanyo wa mafundisho ya kanuni tu. Uliletwa ili uwe kitu cha kutumika kutatulia matatizo ambayo yanawatokea watu katika maisha yao ya kila siku. Uislamu hauweki mawazo ya kielimu tu ambayo hayana kiini cha maisha halisi, bali hutoa mifano bora ya maisha ya Uchamungu na maisha maizuri. Ni kweli kwamba maisha ya Mtukufu Mtume (s.a.w.) hayangeweza kuchukua hali zote zitokanazo na maisha ya binadamu. Kwa hilo baada ya yeye, walifuata makhalifa wake kumi na wawili ambao walikuwa mfano mzuri wa maisha ya Uchamungu, na kwa vile iliwabidi waishi katika hali za namna mbalimbali, walionyesha namna ya mtu awezavyo kuishi katika nyakati za amani au vita. Hapa tunaona kwa kifupi maelezo ya maisha ya Imamu Hasan Askari, (a.s.) Khalifa wa kumi na moja wa Mtukufu Mtume (s.a.w.).