Drawer trigger

NYUMBA YENYE AMANI

NYUMBA YENYE AMANI

NYUMBA YENYE AMANI

Mchapishaji :

Erkam Printhouse

Mwaka wa uchapishaji :

2022

Eneo la uchapishaji :

Istanbul, Turkey

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

NYUMBA YENYE AMANI

Sıfa zote njema zınamstahıkıa Allah, ambaye ameumba ubınadamu kutokana na jinsia mbili za kiume na kike na akazifungua nyoyo zetu kuelekea kwenye upendo wa utukufu wa Mwenyezi Mungu. Rehma na amani ziwe juu ya Kiongozi wetu Mtukufu Muhammad Mustafa (s.a.w), ambae aliziandaa nyoyo zetu kwa ajili ya upendo wa kumpenda
Mwenyezi Mungu Mtukufu na akaishi maisha ya
ukamilifu wa hali ya juu na kuwa mfano pekee bora wa kuigwa wa maisha ya kifamilia. Ni hakika kuwa kuna upendo katika uumbaji wa kila kiumbe.