Dua Ya Kuuaga Mwezi Wa Ramadhan
Dua Ya Kuuaga Mwezi Wa Ramadhan
0 Vote
124 View
Ni Sunna ya Mtume (s.a.w.) aliyomfunza Jabir bin Abdillahi Al Ansariy kuwa, katika Ijumaa ya mwisho ya Ramadhani, maneno haya yasomwe:
“Ee Mola! Usiijaalie Ramadhani ya mwaka huu kuwa ndiyo mwisho wetu wa kufunga. Kisha ninakuomba Unijaalie niwe mwenye kurehemewa wala Usinijaalie kunyimwa (malipo bora).”