Drawer trigger

As-Salaatu-Khayrun-minan-nawm

As-Salaatu-Khayrun-minan-nawm

As-Salaatu-Khayrun-minan-nawm

Mchapishaji :

AL-ITRAH FOUNDATION

Mwaka wa uchapishaji :

2008

Eneo la uchapishaji :

Dar es salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

As-Salaatu-Khayrun-minan-nawm

Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: “as-Salaatu Khayrun Mina ‘n-Nawm” kilichoandikwa na Sayyid Abdul-Rahim al-Musawi. Sisi tumekiita: “Je maneno: As-Salaatu Khayrun Mina ‘n-Nawm ni katika maneno ya Adhana?” Kitabu hiki kinazungumzia kuhusu Asili ya Adhana na jinsi ilivyokuja kwa Mtukufu Mtume. Kuna tofauti za kimapokezi kati ya madhehebu za Kiislamu, hususan Sunni na Shia. Na pia zipo hitilafu miongoni mwa wanachuo wenyewe kwa wenyewe ndani ya madhehebu za Kisunni kuhusu suala hili, kama utakavyoona katika kitabu hiki. Kitu ambacho wamehitalafiana ni maneno: as-Salaatu Khayrun Mina ‘n-Nawm, kwamba ni maneno ya asili ya adhana au yaliongezwa na watu baada ya Mtukufu Mtume kuondoka? Hili ndio suala linalojadiliwa katika kitabu hiki