asiye_mtambua_imamu_wa_zama_zake
asiye_mtambua_imamu_wa_zama_zake
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
1409
Publish location :
Tanzania Dar es salaam
(0 Kura)
(0 Kura)
asiye_mtambua_imamu_wa_zama_zake
kitabu hiki kinatoa ufafanuzi wa hadithi maarufu ya mtume muhammad (s.a.w.w) ambaye amesema: "Yeyote atakayekufa pasina kumtambua imamu wake atakufa mauti ya mpagani." kila mwislamu mwenye kuamini kauli ya bwana mtume (s.a.w.w) hana budi kufanya kila juhudi ya kumtambua imamu wake wa wakati huu maana dunia hii haiwezi kubaki hata sekunde moja bila ya hujjah ya mwenyezi mungu (s.w.t) kuwapo. ama kwa hakika, kuwa na imani katika imami ni mzizi mmoja wapo wa dini, maana kazi ya kuiongoza na kuihifadhi dini ni wajibu wa imamu baada ya kuondoka duniani bwana mtume (s.a.w.w). Ndipo kitabu hiki kinafaa kisomwe na kila mwislamu! na kutafakari aya za kurani, hadithi za bwana mtume (s.a.w.w) za maimamu waliotajwa na mtume (s.a.w.w) na maelezo ya kihistoria yaliyomo ndani yake. kila neno lina maana na maarifa yake.