FADHAAIL ZA SAYYIDNA ALI IBNE ABI TALIB (A.S)

FADHAAIL ZA SAYYIDNA ALI IBNE ABI TALIB (A.S)
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2007
Number of volumes :
2000
Publish number :
Chapa ya Tatu
Publish location :
Dar es Salaam, Tanzania
(0 Kura)

(0 Kura)
FADHAAIL ZA SAYYIDNA ALI IBNE ABI TALIB (A.S)
Hii ni tafsiri ya kitabu kiitwacho مقام الامام امیر المومنین علي بن ابي طالب علیہ السلام kilichoandikwa na Najumuddeen Sharif al-Askari, wa Najaf, Iraq. Katika kitabu hicho mno hadithi 77 za Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w.) ambazo zimepangwa katika mada 50 kuhusu fadhila, ustahili na sifa za Sayyidina Ali bin Abi Talib (a.s.).
Mabwana Ahmad bin Hanbal, Ismail bin Ishaq al-Kadhi, Ahmad bin Ali bin Shuaib an-Nasai, na Abu Ali an-Nishapuri wanatamka kuwa haukupokewa utukufu na ubora wa Sahaba yeyote kwa hadithi sahihi na sanadi madhubuti, kama ulivyopokelewa utukufu na ubora wa Ali bin Abi Talib (a.s.).
Hadithi zote zilizotajwa katika kitabu hiki zimepokewa na Masahaba mashuhuri kama Bw. Abu Bakr, Bw. Umar bin Khattab, Bw. Uthman bin Affan, na Bw. Jabir bin Abdullah, Bibi Aisha, na Bw. Abdullah bin Umar. Mtungaji ameyataja majina ya vitabu pamoja na Juzu na ukurasa zilimopatikana hadithi hizo.






