Faida zenye kukusudiwa katika kubainisha hadithi zenye kukataliwa

Faida zenye kukusudiwa katika kubainisha hadithi zenye kukataliwa

Faida zenye kukusudiwa katika kubainisha hadithi zenye kukataliwa

Interpreter :

Amiri Mussa Kea

Publication year :

2006

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Faida zenye kukusudiwa katika kubainisha hadithi zenye kukataliwa

Kitabu hiki ni toleo la Kiswahili la taasisi ya Al Itrah Foundation. Chapisho lake limelenga kukidhi mahitaji ya kiroho ya zama hizi pamoja na Ubongo na fikra zinazokuwa za Muislam. Jitihada kubwa zimefanywa na Taasisi kuweka chapisho hili la Kiswahili katika msingi wa haki na wenye kukubalika katika Uislam. Unaombwa kwa Taadhima ukisome kitabu hiki katika malengo yaliyokusudiwa. Pia Unaombwa kuwasilisha kwetu maoni yako huru juu ya chapisho letu hili, jambo ambalo tutashukuru sana. Kutangaza ujumbe wa Uislam ni kazi ambayo inahitaji ushirikiano wetu sote. Taasisi inakuomba kuungana na kushirikiana kama ilivyoagizwa katika aya ya Qur’an: (Surat Saba’ 34:46).Na rehma za Allah ziwe juu yako.