Hadithi_ya_Kishamiya

Hadithi_ya_Kishamiya

Hadithi_ya_Kishamiya

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Hadithi_ya_Kishamiya

Ndugu msomaji mpendwa, ndani ya kijitabu hiki baada ya tarjama ya hadithi ya Kishamiya na utenzi wake, kuna tarjama ya dua ya Tawas-Suli na dua mashuhuri zinazosomwa kila baada ya swala za faradhi, ambazo zote tumezinukuu kutoka ndani ya Mafatihul-Jinaan. Kama ambavyo kuna dua ya kuomba faraja iliyopatikana kutoka ndani ya karatasi iliyokuwa katika kitabu nilichozawadiwa na mmoja miongoni mwa ndugu katika imani. Kutokana na uzito wa maneno yaliyomo nikaona niinukuu ili mwenye kutaka kuituniia kwa tiaja zake mbali mbali aitumie. Inshaa Allah Mwenyezi Mungu abikidhie haja zetu kupitia dua hii.